Tanzania ni sehemu nzuri sana ila inaumiza sana hao Mafisa wanavyotuongezea bugumu/b wa maisha. Tutembee mwendo wa cash nchi ilisha uzwa? Nakupenda Tanzania kwa moyo wangu woooooote. Comment by christine apiyo on June 25th, 2008 6:06 am b...../b 1. namiss supu ya makongoro kwa Octa Kinondoni Ada bEstate/b kuna jamaa alikuwa akipika makongoro anaitwa Kimti 2.namiss chapati za New Zahir Restaurant kule town kwa wahindi bongo daslam 3. namiss dagaa mchele wa ferry fungu la dagaa ...